,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 23, 2016


Na Sosy
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda aendelea na ziara  yake ya kusikiliza kero za wananchi katika mkoa huo ambapo tayari watumishi wasiowajibika kubabanwa kutokana na kushindwa kutimiza majukumu yao.

RC Makonda leo yupo katika Manspaa ya Ilala ambapo amelenga kutembelea Soko la Samaki la Feri, Mfereji wamaji machafu ilala Mchkichuini, Pugu kupitia njia ya reli, kukagua ujenzi wa Kituo cha Polisi Chanika.
Akiwa katika Ukumbi wa Manspaa Makonda ameeleza kuwa hawezi kuwavumilia wafanyakazi wasiojishughulisha na kwamba anataka kuhakikisha kuwa wanatoka Ofisini kwenda kwa wananchi kusikiliza kero zao ili kurahisihsa kazi ya kuwahudumia wananchi sambamba na kutimiza leongo la Rais magufuli.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi