,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 9, 2016

Mshindi wa Big Brother mwaka 2014 Idris Sultan amemtaja mrembo wa Bongo Movie Elizabeth Michaelmaarufu kama Lulu kuwa ndiye msichana ambaye anaishi katika ndoto zake kwasasa.

Akiongea na Perfect255 Idris Sultan ameiambia kuwa Lulu ndiye msichana ambaye anahisi ametulia kwasasa ukilinganisha na mastaa wengine wa Bongo Movie na kujikuta akimmwagia sifa kibao.
“Me naona Elizabeth Michael ametulia sana, ni staa ambaye namuona yuko vizuri, amesimama, mwenye vigezo vya mwanamke ambaye ametulia, anajiheshimu na vitu kama hivyo.”
Hayo ni baadhi tu ya maneno ambayo Idris Sultan alifunguka baada ya kuulizwa ni mrembo wa Bongo Movie ambaye anamtamani kutoka nae. Play hii video hapa chini kumsikiliza mwenyewe akifunguka juu ya suala hilo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi