,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, November 5, 2016

Alhaji Tekno amekuwa msanii mwingine kutoka Nigeria kujiunga na Sony Music.

Mwaka 2016 tumeona wasanii tofauti kutoka Nigeria wakukubalika na kupokelewa na kampuni tofauti za muziki za kimataifa na sasa ni zamu ya TripleMG golden boy Tekno.
Kwenye lebo hii Tekno amejiunga na wasanii kama DavidoWizkid na Ycee kutoka Nigeria. CEO wa African Music Fest Paul Okoye amethibitisha taarifa hizi kwa kuandika Sony music New York Global deal @teknoofficial @ubifranklintriplemg @upfrontbookings @oneafrica_musicfest #afrobeats must love.
la-banda-sony-music
Tekno pia amethibitisha taarifa hizi akiwa na bosi wa Ubi Franklin.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi