,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, November 18, 2016

Tokeo la picha la scania tanker
WAUNGWANA NAOMBA msaada kwa atakayeliona au kusikia taarifa za gari aina ya Scania tanker yenye namba ya usajili T401 CCY iliyokuwa ikitoka Dae es Salaam kuelekea Songea kupitia njia ya Mkuranga Mkoani Pwani, Nangulukuru,Lindi , Masasi Mtwara pamoja na Tunduru Mkoani Ruvuma siku ya Jumanne ya tarehe 15Novembba ya Mwaka huu.
Gari hilop lenye  jina la Kadi la HAFSA OMARY MPANYE , Dereva pamoja na Utingo wa gari hilo hawajulikani walipo na wala namba zao za simu zahipatikani hadi muda.
Taarifa za kupotea gari hilo ziko kituo cha polisi stakshari.Stk/rb/15976/2016 yahusika.Kwa atakaeiona gari hilo tafadhali toa taarifa kwa simu no 0652222272,0753 222272.

Watanzania wote ni ndugu naombeni msaada wenu ndugu zangu 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi