,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 2, 2016

Kadri miaka inavyozidi kwenda, muziki wa Afrika umeendelea kupata heshima nchini Marekani. Mastaa wakubwa nchini humo wamekuwa wakipost video wakisikiliza nyimbo za wasanii wa Afrika.

Awamu hii Davido amepewa shavu na muigizaji wa tamthilia ya Empire, Taraji P Henson. Staa huyo maarufu kwa jina Cookie, amepost picha akionesha kusikiliza wimbo How Long wa Davido na Tinashe.
“ANYBODY who knows me know I LOVE MUSIC!!!especially WORLD MUSIC!!! Thank you @tymwallacehair for turning me on to another heater!!!,” ameandika kwenye Instagram.

Naye Davido alijibu: Big ups @tarajiphenson .. LET ME BRING THAT AFRICAN HEAT TO EMPIRE!! ONE EPISODE IS COOL FOR ME LOL

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi