,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 9, 2016

- Ushindi wa Trump ni ushindi wa Wananchi wa Marekani, baada ya miaka 270 ya Mfumo Dume Wazee wa Kimarekani wanaomalizia Generation ile hawakutaka kuona Rais Mwanamke anachaguliwa under their watch. Donald Trump throughout the campaign alikuwa anaongea lugha ya pure American, ambaye amezaliwa Bronx dakika 10 kutoka Manhattan lakini hajawahi kutoka nje ya Bronx kwa sababu kila kitu kama Hospitali, Shule, Maduka makubwa na mahitaji yote kama binadam yapo Bronx hapo hapo alipozaliwa so hajawahi kuona sababu ya kwenda Manhattan dakika 10 tu kutoka anapoishi, so kwake the Bronx ndio Dunia masikini ya Mungu hajui lolote hawa ndio wananchi wengi wa Marekani ambao Trump alikuwa anaongea lugha yao.

- Trump amevuna sana kura za hasira againt Politicians wajanja wajanja, kwa kugombana mpaka na Chama chake Trump alikuwa anajiweka vizuri zaidi na wananchi ambao walikuwa wanamuamini kwamba ana best interest ya Taifa na Wananchi mpaka amefikia kugombana na wanasiasa wa chama chake mwenyewe, kuanzia marais wa zamani mpaka Spika wa Bunge wa chama chake. Huku akiyasema matatizo ya Marekani kama Taifa kama yalivyo bila kuogopa Political Correctness.

- Mama Clinton ana makosa mengi sana na ya muda mrefu sana Polls zinaonyesha 65% ya Wananchi wa US hawamuamini kabisa kutokana na matatizo yake mengi sana kisiasa, lakini pia kitendo cha kushindwa kumpa ugombea mwenza Bern Sanders pia kumemuumiza sana na wafuasi wa Ben. Halafu Wamarekani waliokimbia utawala wa Mfalme King George, wangemuchaguaje Mke wa Rais wa zamani?

- Now all and all, Wananchi wa USA wameshaamua Democrasia kama kawaida imeshinda tena big time , now comes our part as a nation na ushindi wa Donald Trump, kwa maoni yangu baada ya kuishi USA kwa miaka 25 ni kwamba Trump amesaidiwa sana na Makampuni ya Kutengeneza Silaha ambayo yanataka Vita na kuhakikisha kwamba Wananchi wa USA wanakuwa na haki za kisheria za kumiliki Silaha kama walivyo sasa against Sheria na majaribio mengi ya Chama cha Mama Clinton cha kutaka kuwazuia wasiwe na Silaha, na besides kuacha mambo machache sana ya Trump bado yeye na Rais Magufuli wanaongea lugha moja ya USA First na Tanzania First.

- Maofisa wetu wa Diplomasia wasiingie mkenge wa Dunia kuilalamikia USA kwa kumchagua Trump badala yake wajikite kwenye kuangalia masilahi ya Taifa letu na Urais wa Trump, kwa sababu hata ukiangalia historia ipo very clear kwamba Viongozi wa Republicans ndio wametusaidia sana Tanzania na hata Weusi kule USA kuliko hata Democrats Chama ambacho Wabongo wengi tunaonekana kukiunga mkono bila kukielewa vizuri. Tanzania tupo kwenye kufaidika sana na Urais wa Trump kwa sababu Wamiliki wa Silaha wanapenda sana kuwinda so tukiwa flexible watakuja kwa wingi kwa njia ya utalii, lakini tukijiingiza mbio kwenye kuwa negative against Rais wa USA ambaye hatuhusu kabisa tunaweza kuishia kujinyonga wenyewe kwa kamba tuliyojitengenezea, kwa maneno yake mengi kuhusu Africa Trump hawezi kuwa na tatizo na uongozi wa Rais Magufuli, no way ninasema ushindi wa Trump ni mzuri na unaweza kuwa na faida kwetu Tanzania kama tutajikita kwenye kujali masilahi ya tiafa kwanza na kuchana na siasa za Dunia.

Le Mutuz Nation
- Ushindi wa Trump ni ushindi wa Wananchi wa Marekani, baada ya miaka 270 ya Mfumo Dume Wazee wa Kimarekani wanaomalizia Generation ile hawakutaka kuona Rais Mwanamke anachaguliwa under their watch.
Donald Trump throughout the campaign alikuwa anaongea lugha ya pure American, ambaye amezaliwa Bronx dakika 10 kutoka Manhattan lakini hajawahi kutoka nje ya Bronx kwa sababu kila kitu kama Hospitali, Shule, Maduka makubwa na mahitaji yote kama binadam yapo Bronx hapo hapo alipozaliwa so hajawahi kuona sababu ya kwenda Manhattan dakika 10 tu kutoka anapoishi, so kwake the Bronx ndio Dunia masikini ya Mungu hajui lolote hawa ndio wananchi wengi wa Marekani ambao Trump alikuwa anaongea lugha yao.

- Trump amevuna sana kura za hasira againt Politicians wajanja wajanja, kwa kugombana mpaka na Chama chake Trump alikuwa anajiweka vizuri zaidi na wananchi ambao walikuwa wanamuamini kwamba ana best interest ya Taifa na Wananchi mpaka amefikia kugombana na wanasiasa wa chama chake mwenyewe, kuanzia marais wa zamani mpaka Spika wa Bunge wa chama chake. Huku akiyasema matatizo ya Marekani kama Taifa kama yalivyo bila kuogopa Political Correctness.

- Mama Clinton ana makosa mengi sana na ya muda mrefu sana Polls zinaonyesha 65% ya Wananchi wa US hawamuamini kabisa kutokana na matatizo yake mengi sana kisiasa, lakini pia kitendo cha kushindwa kumpa ugombea mwenza Bern Sanders pia kumemuumiza sana na wafuasi wa Ben. Halafu Wamarekani waliokimbia utawala wa Mfalme King George, wangemuchaguaje Mke wa Rais wa zamani?

- Now all and all, Wananchi wa USA wameshaamua Democrasia kama kawaida imeshinda tena big time , now comes our part as a nation na ushindi wa Donald Trump, kwa maoni yangu baada ya kuishi USA kwa miaka 25 ni kwamba Trump amesaidiwa sana na Makampuni ya Kutengeneza Silaha ambayo yanataka Vita na kuhakikisha kwamba Wananchi wa USA wanakuwa na haki za kisheria za kumiliki Silaha kama walivyo sasa against Sheria na majaribio mengi ya Chama cha Mama Clinton cha kutaka kuwazuia wasiwe na Silaha, na besides kuacha mambo machache sana ya Trump bado yeye na Rais Magufuli wanaongea lugha moja ya USA First na Tanzania First.

- Maofisa wetu wa Diplomasia wasiingie mkenge wa Dunia kuilalamikia USA kwa kumchagua Trump badala yake wajikite kwenye kuangalia masilahi ya Taifa letu na Urais wa Trump, kwa sababu hata ukiangalia historia ipo very clear kwamba Viongozi wa Republicans ndio wametusaidia sana Tanzania na hata Weusi kule USA kuliko hata Democrats Chama ambacho Wabongo wengi tunaonekana kukiunga mkono bila kukielewa vizuri. Tanzania tupo kwenye kufaidika sana na Urais wa Trump kwa sababu Wamiliki wa Silaha wanapenda sana kuwinda so tukiwa flexible watakuja kwa wingi kwa njia ya utalii, lakini tukijiingiza mbio kwenye kuwa negative against Rais wa USA ambaye hatuhusu kabisa tunaweza kuishia kujinyonga wenyewe kwa kamba tuliyojitengenezea, kwa maneno yake mengi kuhusu Africa Trump hawezi kuwa na tatizo na uongozi wa Rais Magufuli, no way ninasema ushindi wa Trump ni mzuri na unaweza kuwa na faida kwetu Tanzania kama tutajikita kwenye kujali masilahi ya taifa kwanza na kuachana na siasa za Dunia.

Le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi