,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 29, 2016

Kikosi cha timu ya soka ya Chapecoense ya Brazil wamepata ajali ya ndege wakiwa angani kuelekea kutua katika uwanja wa Medellin.
Ndege hiyo kabla ya kuanguka katika milima ya Colombia ilianza kupotea katika rada, ndege hiyo ya shirika la ndege la Airline LaMia imethibika kuwa ilikuwa imebeba abiria 72 na wafanyakazi 9 wa ndege, abiria hao 72 wanaripotiwa wote walikuwa ni msafara na wachezaji wa timu ya Chapecoense ya Brazil .

Timu hiyo ilikuwa inaelekea nchini Colombia kucheza mchezo wa kwanza wa Fainali ya Sundamerican kumenyana na wenyeji Atletico Nacional ya Colombia mchezo huu ulipangwa kuchezwa siku ya Jumatano ya Novemba 30,2016 na inasemekana kati ya abiria 81 waliokuwemo kwenye ndege hiyo ni watu watano wametoka salama na 76 wameripotiwa kupoteza maisha.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi