,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 23, 2016

6205e237-2ccf-484f-acb2-807763278bd0
Bendi ya muziki wa Taarab, TMK Modern inayomilikiwa na Mkubwa na Wanawe, itazinduliwa rasmi December 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Dar Live, Mbagala jijini Dar es Salaam.

Akiongea na Bongo5, Said Fella amesema kuwa bendi hiyo hadi sasa imeshaachia nyimbo mbili.
82bf734d-2ab8-4761-821e-a24eb83ba364
Omary Tego
“Bado bendi mpya zimetoka nyimbo mbili ya Bi. Mwanahawa Ally nyimbo inaitwa Sina Pupa na Aisha Vuvuzera nyimbo inaitwa Kibaya Kina Mwenyewe,” amesema.
7cef4b01-e6b3-4b2a-93cb-9708ac76c400
Pia Fella amesema wasanii wawili wapya wamejiunga na bendi hiyo akiwemo Ibra na Jezza.
be6a39f9-20dc-4ac2-917e-7c159b93f4b5
Wasanii wengine waliomo kwenye bendi hiyo ni Mohamed Mauji na Chidy Boy waliokuwa Jahazi Modern Taarab, Babu Ali, Fatma Mcharuko na Maua Tego.
580d627e-6131-4c66-ac52-9c13038c2fb4

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi