,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, November 12, 2016Ukiachan baadhi ya raia kuandamana kupinga Donald Trump kuchaguliwa kuwa rais, wasanii wakubwa wawili wameonekana mtaani wakiunga mkono maandamano hayo.
Rapa T.I. na Meek Mill walikuwa mtaani wakiunga mkono harakati za “Not My President” zinazoendelea Marekani kwa siku mbili mfululizo.
T.I alisema “This ain’t supposed to be how people react to the election of a president,This ain’t what we built up on, man. This ain’t what we about. This is some bullshit.” akimaanisha “Hizi sio hisia sawa za watu baada ya uchaguzi wa rais wao, sio kitu tulichojenga, sio mambo yetu haya”
Watu waliokuwa karibu na T.I walikuwa wakisema Hillary Clinton kapata kura nyingi zaidi.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi