,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 30, 2016

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa.
Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikishafollowers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.
Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika Diamond na Zari.
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia: Who wouldn’t be excited with a new Bentley whip THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi