,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 9, 2016

MCHUNGAJI TB JOSHUA
Na Sosy
UTABIRI uliofanywa na Mchungaji mashughuli Afrika TB Joshua umekwenda tofauti na matokeo ya uchaguzi nchi Marekani.
Tb Joshua alitabiri kuwa Hillary Clinton wa Chama cha Demokrati atamshinda mpinzania wake Dolnard Trump wa Republican.
Mchungaji huyo aliwakutabiri uchaguzi wa mkuu wa Tanzania ulifanyika Mwaka Jana kuwa Mgombea wa Chadema Edward Lowassa atashinda uchaguzi mkuu lakini imekuwa tofauti kutokana na kushindwa kwa mgombea huyo.
Kitendo hiki kinaweza kumondolea uaminifu na kwa watu wanaomuani akitabiri tofauti jambao amabalo linaweza kumtia doa kumuondolea uamnifu wake.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi