,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, November 2, 2016


Diamond Platnumz na Alikiba ni wasanii wakali na wakubwa Tanzania na hata Afrika kwa ujumla hilo linajulikana au vipi 

Na kwakuwa wote wanafanya muziki mzuri, ni pendekezo la kila mmoja mpenzi wa muziki mzuri kutaka kuona collabo ya pamoja ya wawili hawa, kutokana na ushindani ambao wanao katika kazi yao ya muziki na hata katika hali ya kutengeneza muziki mzuri ili kuipeleka Bongo Fleva mbali zaidi.
Sasa unachotakiwa kukifahamu ni kwamba wawili hao wamekwisha fanya collabo tena zaidi ya moja. Unataka kuzijua? Play hii video hapa chini utaelewa anachokimaanisha huyu mchekeshaji maarufu wa nchini Kenya.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi