,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, December 1, 2016

Tokeo la picha la LADY JAY DEE
UONGOZI ya Msanii Mkongwe wa Bongo Flavour Mwanadada Judith Wambura umetoa uamuzi baada ya kufunguliwa kwa milango ya mahusiaono yao na uongozi wa Clouds Media Gruop. 

Uongozi huo wa   (Lady Jay Dee) umeridhia kupeleka ngoma za msanii huyo katika vyombo vya hanbati vya clouds media group  baada ya kumalizika kwa mgogoro walikuwa nao kwa muda mferu kati ya mwanamziki huyo na Clouds Media Group.
Jay dee alipohojiwa na vyombo vya habari baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Luge Mutahaba aliposema kuwa Clods Media ipo tayari kupiga ngoma za mwanadada huyo aliyedumu kwenye muziki wa bongo flavour takribani Muungo mmoja na nusu amesema kuwa naye hana tatizo na chombo hicho cha habari.
hivyo uongozi wa Msanii huyo umesema kuwa utakuwa tayari kupeleka nyimbo za msanii huyo 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi