,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, December 1, 2016


Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom Tanzania, Samson Mwongela(kushoto)akisaidiwa na Meneja Uhusiano kampuni hiyo,Matina Nkurlu (katikati), kuonyesha simu feki zaidi ya 500 zilizokusanywa kutoka kwa wateja wao kwa ajili ya kuteketeza kama ilivyoagizwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wakati wa mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Gideon Chilambo ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Chilambo General Trade Company inayoteketeza bidhaa feki

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (katikati) akionyesha simu halisi aina ya Smart Prime 7 yenye ubora na kiwango inayopatikana kwa Tsh 250,000/- kwa maduka yote ya kampuni hiyo, wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya simu feki zaidi ya 500 zilizokusanywa na kampuni yake kutoka kwa wateja kwa ajili ya kuteketezwa kama ilivyoagizwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni a Mkuu wa Bidhaa wa kampuni hiyo,Samson Mwongela na kulia ni Gideon Chilambo ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Chilambo General Trade Company inayoteketeza bidhaa feki

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi