,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, December 1, 2016

Tokeo la picha la nape nnauye
serikali imewapa onyo kali gazeti la kila siku la mtanzania kutokana na kuandika habari za upotoshaji kwa umma.
upotoshaji waliofanya gazeti hilo  ni kuandika kuhusu  kuzuiwa kwa Rais Mstaafu wa awamu ya nne kuzuiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kitu ambacho sio kweli.
 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi