,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, January 11, 2017

Image may contain: 2 peopleWatalaam toka ofisi yake wahaidi kukamilisha kazi Ndani YA siku 14Awataka wananchi kuwa watulivu na kuwapa ushirikiano watalaam aliowateua toka ofisi yake baada YA wananchi kuwakataaa watalaam wa halmashauri ya Mbarali
-Awaonya viongozi wa Vijiji wanaouza Ardhi kiholela kwa matajiri na kuwaacha Vijana na wananchi wanyonge katika Kijiji Image may contain: 2 people, people standing, crowd and outdoor
Mkuu wa Mkoa wa Nbeya Leo amefanya mkutano wa hadhara Kijiji cha Kapunga na kushirikisha wakazi wa Kijiji cha Ujwavila na kuwatangazia wananchi nia YA serikali kumaliza MGOGORO wa mpaka wa Vijiji vya kapunga na Ukwavila
Amesema wiki mbili zilizopita aliteua watalaamu wa ardhi toka ofisi yake na wanaendelea vizuri na kazi na watakamilisha kaxi hiyo siku 14 zijazo hivyo amewataka wananchi kuwa watulivu na wawape ushirikianoImage may contain: 8 people, people standing and crowd
Amewaonya viongozi wa Vijiji wanaouza ardhi kiholela kwa matajiri na kuwaacha wanakijiji wanyonge hawana ardhiImage may contain: 13 people, crowd and outdoorImage may contain: 4 people, people standing, crowd and outdoor

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi