,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, May 15, 2017

Image result for mrisho gambo
Mrisho Gambo
Mkoa wa Arusha tumetoa rambirambi ya Million moja kwa kila familia na kupitia Million 100 za Bunge tumetoa 2,850,000, Jumla ni 3,850,000 kwa kila familia!

Pia Mkoa tumegharamia Majeneza yote 35, usafiri wa Miili yote 35 pamoja na kulipa posho za madereva waliopeleka miili kila mahali. Mchanganuo kamili unakuja.
Uongozi unao acha alama!

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi