,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, May 18, 2017

Siku nne zilizopita, yaani May 12 Rayvanny aliachia video ya wimbo wake ‘Zezeta’, na wakati huo huo msanii ambaye anasemekana kuwa na kiki zaidi kwa sasa, Harmorapa akiachia video ya wimbo wake ‘Nundu’.

Sasa matokeo ya video zao yapo hivi: Zezeta ya Rayvanny imepata viewers 547,374 na shares 6,715, wakati ile ya Harmorapa ikipata viewers 108,223 na shares 724. Takwimu nyingine hizi hapa chini.0 comments:

Post a Comment

ufunguzi