,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, May 18, 2017

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Dk Tao Zhang amempongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake za kupiga vita rushwa, ufisadi na ukwepaji kodi.Dk Zhang amesema uchumi wa taifa lolote unategemea kwa kiasi kikubwa makusanyo ya kodi kinyume na hapo ni vigumu kufikia maendeleo.Naibu huyo amesema ili kukabiliana na changamoto za rushwa ni muhimu vyombo na taasisi za Serikali kuwa imara na kufanya kazi kwa ufanisi.Najua hii ni mada nyeti kwa mataifa mengi, ila natumai wote tunafahamu namna rushwa na ukwepaji kodi vinavyokwamisha kukuza uchumi wa nchi,"amesema.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi