,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, June 15, 2017

Image may contain: 1 person, sitting
"Leo 14/06/2017 ni siku ya kuchangia damu duniani. Na mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeitikia wito kuchangia damu yangu katika kituo cha Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Damu ni muhimu kwa wale wenye mahitaji hivo tukitokeze kwa wingi kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wenzetu. Kituo cha Muhimbili kinaendesha zoezi hili kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku. #ChangiaDamu #OkoaMaisha #WorldBloodDonationDay #DonateBlood #SaveLives
Earlier today at Muhimbili National Hospital where I went to donate blood in a response to the World Blood Donation Day."
Image may contain: 2 people, people sitting
Image may contain: 1 person, standing, tree and outdoor
Image may contain: 1 person, sitting

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi