,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, June 17, 2017


Wachumba wa wawili ambao ni Vikongwe  raia wa Paraguay wameamua kufunga pingu ya maisha kanisani hivi karibuni baada ya kukaa uchumba kwa miaka 80.
Bwana Jose Manuel Riella ana umri wa mika 103 na mkewe Martina Lopez ana miaka 99 na walianza uhusiano wao tangu mwaka 1933.
Wapenzi hao wameamua kufunga ndoa kanisani  huku wakiwa na watoto nane, wajukuu 50, vitukuu 35,na vilembwe 20 ambao baadhi yao walihudhulia ndoa hiyo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi