,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, June 20, 2017

Good news mtu wangu inayozidi kutawala katika headlines za soka Tanzania ni pamoja na stori za mastaa wa soka barani Ulaya kuja Tanzania kufanya utalii, wiki kadhaa nyuma tulimuona staa wa soka wa zamani wa Man United David Beckham na familia yake wakija Tanzania.
Mamadou Sakho wa Liverpool alikuwa Tanzania na mkewe Majda na watoto wake Aidana Sienna na kwenda Ngorongoro kutalii, jana June 19 tumeona kiungo wa Tottenham Hotspurs raia wa Denmark Chris Eriksen akipost picha akiwa Ngorongoro Crater.
Baada ya Chris Eriksen kuingia Tanzania leo June 20 2017 kiungo mwingine wa Tottenham Hotspurs ya England Victor Wanyama ameingia Tanzania kwa ajili ya mapumziko akiambatana na watu wake wa karibu.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi