,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, June 15, 2017

 Lesotho Prime Minister Thomas Thabane speaking to Sowetan ahead of the SADC meeting today. Thabane express his wish for more troops from SADC into Lesotho. / Thulani Mbele. © Sowetan

Mke wa Waziri Mkuu mpya wa Lesotho,Bwana. TOM THABANE ameuawa kwa kupigwa risasi jana usiku katika kijiji kimoja kwenye vitongoji vya Mji mkuu wanchi hiyo Maseru.


Taarifa zinasema Bibi. LIPOLELO THABANE,alipigwa risasi na kuuawa alipokuwa anakaribia kwenye lango kuu la kuingilia nyumbani kwake wakati mtu aliyekuwa na silaha kumpiga risasi na kuuawa papo hapo.

Rafiki yake ambaye alikuwa naye amejeruhiwa vibaya katika shambulio hilo hali yake imeelezwa kuwa ni mbaya katika hosptitali moja anakaopatiwa matibabu.

Msemaji wa Poli si Bwana CLIFFORD MOLEFE amethibitisha tukio hilo lakini hakutoa maenezo zaidi
Bwana MOLEFE amesema hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusika na shambulio hilo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi