,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, June 17, 2017

Makamu mwenyekiti wa Klabu ya Simba Godfrey Nyange ‘Kaburu’, amethibitisha rasmi kuwa klabu hiyo, imeachana na mshambuliaji Ibrahim Ajib Migomba!
‘Kaburu’ amesema tangu kipindi kirefu Ajib amekuwa na msuguano na Simba huku akionesha kutokuwa na mapenzi na timu hiyo, hali iliyoilazimu kamati ya usajili, kutokuwa na mjpango ya kumuongezea mkataba wala kumsajili, na hatimaye kulikata jina lake kwenye orodha ya wachezaji wa Simba!
‘Kaburu’ anasema wanajua kuwa kwa muda mrefu wapinzani wao Yanga, wamekuwa wakimuwinda mchezaji huyo na wao wamelazimika kumkata kutokana na kuonesha kutokuwa na mapenzi na timu hiyo.
Ajib kwa takribani wiki hii nzima, amekuwa akionekana na viongozi wa Yanga, kwa kile kilichoelezwa kumalizia mazungumzo ambayo yamehitimishwa rasmi mchana huu kwa Ajib kusaini mkataba na ‘kulamba’ shs milioni 50. Awali, kulikuwa na taarifa za Ajib kusaini pia Singida United, lakini inaonekana sasa mambo yote yamewekwa hadharani!

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi