,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, June 15, 2017

Mbunifu wa mavazi, Martin Kadinda amesema style yake ya Single Button imeweza kumuinua kiuchumi na kumfungulia fursa mbali mbali.

Kadinda ameiambia Clouds Fm kuwa Single Button imeweza kumtangaza hapa nchini, bara la Africa, Ulaya na America.
“Nakumbuka mara ya kwanza nilienda kufanya show yangu America, kwa hiyo imenitangaza world wide, pili imenifanya niweze kujuana na watu wengi,” amesema Martin Kadinda.
Ameongeza “Tatu imeniwezesha kuweza kusaidia familia yangu, baba na mama yangu ni wastaafu kwa hiyo nawalea kupitia kazi yangu ya ubunifu, vitu vingine ni vidogo vidogo sana lakini ndio inanisadia kupata ninachotaka”.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi