,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, June 17, 2017

44

Mtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo.
Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.
Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.

 1. Afrika Kusini
 2. Antigua & Barbuda
 3. Albania
 4. Armenia
 5. Azerbaijan
 6. British virgins Island
 7. Barbados
 8. Bangladesh
 9. Botswana
 10. Burundi
 11. Bahamas
 12. Belize
 13. Bermuda
 14. Bolivia
 15. Cambodia
 16. Cayman Island
 17. Cape Verde
 18. Comoros
 19. Cook Islands
 20. Djibout
 21. Dominica
 22. Ethiopia
 23. Ecuador
 24. Egypt
 25. Fiji
 26. Grenada
 27. Guinea
 28. Georgia
 29. Haiti
 30. Hong Kong
 31. Jamaica
 32. Jordan
 33. Kenya
 34. Kosovo
 35. Laos
 36. Lebanon
 37. Libya
 38. Liberia
 39. Macau
 40. Malaysia
 41. Madagascar
 42. Maldives
 43. Malawi
 44. Mauritius
 45. Micronesia
 46. Mozambique
 47. Monserrat
 48. Mongolia
 49. Nauru
 50. Niue
 51. Nepal
 52. Namibia
 53. Nicaragua
 54. Palau
 55. Philipines
 56. Qatar
 57. Rwanda
 58. Samoa
 59. Suriname
 60. St. Kitts & Nevis
 61. St. Vincent & Grenadines
 62. St. Lucia
 63. Sierra Leone
 64. Singapore
 65. Swaziland
 66. Tuvalu
 67. Togo
 68. Turkmenistan
 69. Trinidad & Tobago
 70. Timor-Leste
 71. Uganda
 72. Vanuatu
 73. Zambia
 74. Zimbabwe

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi