,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, June 13, 2017

Mke wa Rais Donald Trump, Melania Trump na mtoto wao Barron mwenye miaka 11 hatimaye wameanza kuishi katika Ikulu ya Marekani. Siku ya Jana Jumapili Rais Trump akiambatana na mke pamoja na mtoto wao, walielekea Washington D.C ambapo Ikulu ipo.

Inaelezwa kuwa Trump alikuwa akisubiria kijana wake Barron amalize masomo ya grade 5 katika jiji la New York kabla ya kumuamishia shule ya St. Andrew’s Episcopal ili kuendelea na masomo ya grade 6.Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Melina alitweet akionesha yupo ndani ya White House siku ya Jana. Melina anaonesha kufurahia maisha mapya katika jumba hilo. Ratiba ya familia ya hiyo kuamia Ikulu ilipangwa tangu mwezi Machi mwaka huu.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi