,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, June 13, 2017

 Baada ya baadhi ya mashabiki wake kumnanga na kuwa na maswali mengi juu ya nini kinachompukutisha mwili na kuwa mwembamba kupindukia tofauti na alivyokuwa mwanzo, video queen maarufu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibuka na kueleza sababu ya kupukutika mwili.


Gigy aliliambia Wikienda kuwa, watu wengi wamekuwa wakimshambulia kutokana na kukonda kwake lakini mwili alionao anaufurahia kwa sababu unaendana na umri wake, tofauti na mwanzo alikuwa akionekana kama jimama fulani hivi ilihali hajafikia hatua hiyo.

“Nimepungua kwa sababu nafanya sana mazoezi na dayati. Hakuna kingine kama watu wanavyodhani, nafurahia mwili huu mdogomdogo maana unaendana na umri wangu,” alisema Gigy.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi