,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, June 19, 2017

Staa wa sinema za kitemi Bongo, Jimmy Mafufu amepinga vikali madai ya baadhi ya watu kuwa amelikimbia Jiji la Dar na kuhamia Mbeya vijijini kutokana na ugumu wa maisha.

Mafufu aliliambia Wikienda kuwa, yupo nyumbani kwao mkoani Mbeya kwa ajili ya kuweka mambo sawa, lakini siyo kwa sababu ya kushindwa kumudu maisha ya jijini Dar kwani hata huko aliko anajishughulisha na ujasiriamali.
“Mimi ni mpambanaji, siwezi kukimbia Dar, eti kisa ugumu wa maisha, kama unavyojua maisha yana mambo mengi, hivi karibuni nitarejea Dar,” alisema Mafufu.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi