,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, June 18, 2017

Aliyekuwa mfalme wa taarab Alhaj Mzee Yussuf ambaye jana jioni alimpoteza mke wake wa pili (Chiku) na kichanga wakati mkewe huyo alipokuwa amepelekwa kujifungua katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.

Mzee Yussuf akiongea na mtangazaji Mwanne Othman kwenye kipindi cha Tam Tam za Mwambao, amesema kuwa miili ya vipenzi vyake hivyo itazikwa leo majira ya saa saba mchana Kisutu jijini Dar es Salaam na kusema msiba upo Kariakoo Mtaa wa Livingstone.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi