,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, June 18, 2017

Mzee Yusufu akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu mkewe Bi Chiku leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Jeneza la mwili wa marehemu likiingizwa katika makaburi ya Kisutu mchana wa leo.
Mzee Yusufu akiwa amebeba mwili wa mtoto wake aliyefariki.
Mzee Yusufu akisaidiwa kuingia katika makaburi ya Kisutu.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati) wakati wa mazishi. Kushoto ni Meneja wa Ukumbi wa Burudani wa Dar Live, Juma Mbizo.
Mke mdogo wa Mzee Yusuf, Bi Chiku aliyefariki Hospitali ya Amana kwa uzazi jana amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi