,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, June 12, 2017

Simba wafanikiwa kumrudisha beki wao mahiri wa zamani, Shomari Kapombe ambaye alikuwa akikipiga katika klabu ya Azam FC 

Shomari Salum Kapombe anakuwa ni mchezaji wa tatu kusaini mkataba ndani ya klabu ya Simba ambayo ina mikakakti ya kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, Mbali na Kapombe 
"Klabu ya Simba inamkaribisha  Shomari Kapombe nyumbani sehemu ambayo alipoanzia kupata mafanikio katika mchezo wa soka" ilisema taarifa ya Simba 
Kapombe amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Simba kwa miaka miwili kuanzia sasa

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi