,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, June 17, 2017

1. Simba huishi katika makundi ya simba 1o mpaka 15 ikiwa ni njia ya kuwalinda simba wadogo.

2.Sauti ya Simba ni kali na kubwa kiasi cha kusikika umbali wa kilomita 8

3.Mara nyingi kazi ya kutafuta chakula hufanywa na Simba jike na kazi ya dume huwa ni kufanya ulinzi

4.Simba dume hula wastani wa kilo 7 ya nyama kwa siku na jike kilo 5 kwa siku

5.Akipata huduma zote muhimu kama chakula na asiposumbuliwa na magonjwa simba anaweza kuishi mpaka miaka 25, ila nje ya hapo ni miaka 12 mpaka 16.

6.Simba dume hupenda kuwinda wanyama wakubwa, hawapendi ushindani wakati wa kuwinda kwa mfano wanapowinda na wanyama wanaokula nyama simba huwaua wanyama wanaotaka ushindani

7.Simba hula wanyama wanaokula majani ila kukiwa na upungufu wa wanyama hao hula hata fisi.
8.Simba hukimbia kilometa 81 kwa saa

9.Inawachukua miaka 2 kwa simba jike kukua 2/3 ya simba toka wanapozaliwa na majike ya simba watoto ni wawindaji wazuri kushinda madume
10.Simba huanza kupata uwezo wa kushika mimba baada ya miaka mitatu ttoka kuzaliwa.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi