,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, June 17, 2017

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni ndivyo unavyoweza kusema kwa kinachomtokea kwa sasa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ambaye yupo nchini Nigeria akipatiwa matibabu baada ya kikundi cha Shiite Islamic kutoa kafara ili tu apoteze maisha akiwa hukohuko kabla ya kurejea nchini
kwake.Kikundi hicho kimetoa kafara ya ng’ombe na kusoma dua ili Rais Buhari hali yake ya kiafya izidi kuwa mbaya kwa jinsi siku zinavyozidi kwenda akiwa kwenye matibabu na baadae afe kabisa kabla hajarejea Nigeria.Maombi hayo yalifanyika katika mji wa Borno na sababu ya kikundi cha Shiite Islamic kufanya hivyo inatajwa kuwa ni kutopendezwa na utendaji kazi wa Buhari jinsi anavyoongoza serikali yake na hivyo kwao ni vyema kama akifa ili asiwepo kabisa.
Hali ya kiafya ya Buhari bado haijawekwa wazi kwa sasa inaendelea lakini wiki iliyopita, Msemaji wake alisema anataraji kurejea Nigeria siku za karibuni na hakutakuwa na mapokezi yoyote ambayo yatafanyika kwa Rais huyo.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi